Social Icons



Jumamosi, 22 Agosti 2015

ILE COLLABO ILIYOKUWA IKISEMWA SANA TANGU TUZO ZA MAMA YA DIAMOND NA MAFIKIZOLO ITAITWA 'TELL EVERY ONE'



Baada ya kuweka headlines siku ya jana kwa kufanya collabo na superstaa kutoka Marekani Ne-Yo, staa wa Bongo Flava Diamond Platnumz yupo njiani kuelekea South Africa kufanya
ile collabo tuliyoisikia kwa muda mrefu sana na Mafikizolo.

Wimbo unaitwa “Tell Every One” ambao ni sehemu ya kampeni ya The Global Goals, kampeni kubwa ya dunia inayolega kutokomeza njaa, umasikini maradhi na matatizo mengine.

                                    Mafikizolo wawili katikati na diamond platnumz kushoto

Mafikizolo tayari washaingiza sauti zao kali kwenye ngoma hio na sasa ni zamu ya mtu wetu anayeiwakilisha Tanzania Diamond Platnumz kunogesha ngoma hiyo. Kizuri zaidi ni kwamba hata mchezaji mpira wa Real Madridn, Gareth Bale  ni sehemu ya kampeni hiyo kubwa dunian

                                                                       Gareth Bale


Hakuna maoni:

FOOTBALL NEWS

 
Blogger Templates