Jumatano, 5 Agosti 2015
NAY WA MITEGO AAMUA KUTUMIA NAMBA ZA 966 KAMA UTAMBULISHO WAKE HATA KATIKA VITU VYAKE IKIWEMO MAGARI
Nay wa mitego
Nay wa Mitego licha ya kuanza kuzitaja namba za 966 kwenye nyimbo zake, amesema pia atakua akitumia namba hizo hata katika magari yake..amesema huwa anatoa oda na kusubiri…Ni kitu ambacho ameamua iwe hivyo kwa gharama yoyote ile. Nay ambae sasa anatamba na wimbo wake
unaokwenda kwa jina la SINA MUDA ni miongoni mwa wasanii ambao wanafanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni