Social Icons



Jumatano, 5 Agosti 2015

Je, UNGEPENDA KUSIKIA WIMBO WA WASANII GANI WALIOSHIRIKIANA....




Nafasi hii inaweza kuwa nzuri ambapo sasa inaweza kuwakutanisha mabigwa wa michano hapa bongo ambao tayari wametoa kauli za kila mmoja kumkubali mwenzake na kazi anayoifanya. hapa tunawazungumzia Mr. Blue staa wa AYAYA akiwa na Navio wa UGANDA.
Jose mtambo ambapo Jose alifunguka na kusema katika mziki wa kizazi kipya anamuelewa sana Mr. Blue kwa mistari yake hivyo kumfanya Mr. Blue pia kushukuru na kutoa tamko kwamba angefurahi sana kama wangefanya kazi ya pamoja na staa mwenzake huyo.

Hakuna maoni:

FOOTBALL NEWS

 
Blogger Templates