Rabbit
Kaka Sungura ndiyo jina analojulikana ni rapa kutoka Kenya anayesifika kwa uandishi wa mistari katika mtindo wa Poetry anaemiliki pia rebo ya Kaka Empire amabayo inamiliki wasanii kadhaa nchini humo kama Avril toka Kenya na baadhi kama Rich Mavoko toka Tanzania..
Rabbit amaefunguka na kutoa gharama za kurekodi audio na video chini ya kampuni hiyo ya Kaka Empire.
Rabbit amesema kwa
studio ya ukitaka kurekodi audio unatakiwa kutoa kama laki 3 ya
Tanzania hadi milioni 1, ila kwa upande wa Video ni kuanzia milioni 2 na
kuendelea ambayo inajumuisha kila kitu mpaka mzigo unakamilika.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni