Nahreel
Producer mkali kutoka studio ya 'The Industry' Bongo, Nahreel kumbe
yupo kwenye mpango wa kufungua chuo cha Production ya muziki?? amesema
mafunzo ya production yataanza hivi
karibuni na yatachukua wanafunzi
wengi ambao wanahitaji kujifunza mambo hayo.
Nahreel
amesema kwa yeyote atakayehitaji kujiunga taarifa zitawekwa kwenye
mitandao ya kijamii, sifa za mtu anayetaka kujiunga kwanza ni kuwa na
idea ya muziki ama awe anapenda muziki.
Kingine amesema ana mpango wa
kuanza na wanafunzi 30 na kuendela na ada itakua si kubwa ili kila mtu
ambaye atapenda kujiunga ajiunge na masomo hayo… hii ni good news mtu
wangu !!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni