Ijumaa, 31 Julai 2015
BASATA YAMFUNGIA SHILOLE KUTOFANYA MZIKI KWA MWAKA MZIMA.
Habari zilizofika hivi punde kutoka BASATA July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ni kwamba baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua iliyoifikia millardayo.com ambayo imeandikwa kutoka BASATA imesema
Dj Khaled AWAKUMBUSHA Dj's KUWAPA SAPOTI WASANII BILA KUJARI HALI ZAO NA KUWEKA CHUKI PEMBENI
Dj KHALED
Mvutano wa watu kutokupeana support kwenye game ya muziki haipo tu kwa wasanii Tanzania, hali hiyo ipo hata kwa wasanii wa Marekani pia tena kwa wao hata ma DJ’s kupeana support kwenye kazi zao sometimes inakuwa ngumu.
Mvutano wa watu kutokupeana support kwenye game ya muziki haipo tu kwa wasanii Tanzania, hali hiyo ipo hata kwa wasanii wa Marekani pia tena kwa wao hata ma DJ’s kupeana support kwenye kazi zao sometimes inakuwa ngumu.
Alhamisi, 30 Julai 2015
TAZAMA HAPA ALICHOKISEMA BIRDMAN JUU YA UKWELI KUHUSU BEEF YAKE NA LIL WAYNE. INTERVIEW WITH ANGEL MARTINEZ POWER 105.1 (07/29/2015)
Kumekuwa na stori nyingi sana kuhusiana na ugomvi wa Lil Wayne na Birdman, tukasikia kuwa Lil Wayne anataka kuondoka Cash Money Records kwasababu Birdman hataki kumlipa hela yake.
Tukasikia ugomvi umefikishwa Mahakamani na Lil Wayne
Jumatano, 29 Julai 2015
Jumanne, 28 Julai 2015
SNOOP DOGG AKAMATWA SWEDEN KWA KOSA LA DAWA ZA KULEVYA...SOMA ALICHOKISEMA HAPA
Snoop Dogg
Kusikia Rapper Snoop Dogg kukamatwa na Polisi kisa dawa za kulevya sio story mpya kabisa, stori ni kwamba jamaa alipokuwa
kwenye show Sweden, baada ya kumaliza alikamatwa na Polisi wakati
akiwa anajiandaa kurudi zake Marekani.
Snoop
alikamatwa akihusishwa na kosa la kutumia dawa za kulevya
Bobbi Kristina familia yake yathibitisha kifo chake… #RIP Bobbi Kristina #FinalPeace
Bobbi Kristina
Imepita miezi sita toka Bobbi Kristina mtoto wa marehemu Whitney Houston
akutwe amepoteza fahamu bafuni kwake, na toka kipindi hicho amekuwa
kwenye coma kwa muda mrefu hospitalini kabla ya familia yake kumhamishia
nyumbani baada ya kuona hakuna matumaini ya ziada.
Lil Wayne na Birdman....Birdman hakuhusika kabisa anadai kutohusika na lolote!?
Ni mwezi mmoja umepita toka Lil Wayne na Birdman waziandike headlines baada ya ugomvi wao kuwa mkubwa kufikia Birdman kulipiga risasi Tour bus la Lil Wayne ili kumuua.
Polisi wanasema Birdman na rappa Young Thug
DOWNLOAD NA TAZAMA VIDEO MPYA YA Meek Mill - All Eyes On You (Music Video) Ft. Nicki Minaj & Chris Brown
Hii ndiyo video iliyomshirikisha Chris Brown na bila kumsahau mrembo na rapper wa YMCMB 'Nick Minaj' ambae pia ni mpenzi wa Rapper kutoka MMG 'Meek Mill'. Track hii imeshika nafasi za juu ndani ya chati za billboard na kuwafanya wakali hao kurudi katika headlines za habari mbalimbali duniani kote.
Unaweza kuicheki hapa na kuidownload.
Mrisho Mpoto kuikumbuka Shule yake ya Msingi Songea. NAMTUMBO
Mrisho Mpoto
Mastaa hujisikia vizuri wakati mwingine
wakitembelea kwenye Shule ambazo walisoma zamani… wanafunzi nao
hujisikia furaha kusoma kwenye Shule ambazo mastaa wamesoma, wengine
wakiona hivyo wanapata moyo kwamba hata wao wanaweza kuwa mastaa siku
moja.
Meek Mill na Nicki Minaj ndani ya video moja 'all eyes on me'..
Wiki chache zilizopita Meek Mill aliweka headlines kubwa na wimbo wake wa All Eyes on You aliomshirikisha girlfriend wake Nicki Minaj na RnB Superstar Chris Brown, wimbo ambao
Jumapili, 26 Julai 2015
Izzo, Bizness, Stamina, Godzillah kwenye usiku wa Rap Festival Dar Live
Izzo Business
July 25 2015 itabakia kuwa historia kubwa kwa wakazi wa 88.5 kwa
kupokea shangwe za burudani kutoka kwa, Izzo Bizness, Darasa,
Stamina,Young Killer, Roma Mkatoliki,Godzillah,Nikki Mbishi kwenye
viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam.
Show hiyo iliyopewa jina la Rap Festival iliandaliwa na mtangazaji wa Clouds TV Nickson George aka Lugha
Show hiyo iliyopewa jina la Rap Festival iliandaliwa na mtangazaji wa Clouds TV Nickson George aka Lugha
DOWNLOAD NA TAZAMA HAPA HIT MPYA YA Victoria Kimani - Two of Dem
Moja ya mstaa wa kike wanaofanya vyema katika game ya burudani ni pamoja na Victoria Kimani kutoka Kenya’ Prokoto’ ni moja ya wimbo wake uliovuma sana akiwashirikisha mastaa wa kibongo Diamond pamoja na Ommy Dimpoz.
MIPANGO YA CHEGE 2015. AZIPANIA HEADLINES ZA AFRIKA
Malengo ya Chege yameendelea kuvuka mipaka na sasa lengo lake analofanyia kazi ni kutaka kuvuka mipaka na kuziunganisha nchi mbalimbali za Afrika kuupokea
WASILIANA NASI KUPITIA BLOG HII.
Wasiliana na ofisi zetu zilizopo mjini kahama na unaweza kufika moja kwa moja ofisini kwetu mkabala na Benki ya Azania.
Kama una Matangazo,
Kipindi binafsi,
Makala,
Ama unahitaji kuwa mmoja wa wanajamii hii fadhari usisite kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa facebook ambao ni
www.facebook.com/sscnTv123.
Au kwa simu namba: +255 757 847 883
+255 766 591 904
Email: hitsmusic11@gmail.com
Asante kwa ushiriki wako.
Kama una Matangazo,
Kipindi binafsi,
Makala,
Ama unahitaji kuwa mmoja wa wanajamii hii fadhari usisite kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa facebook ambao ni
www.facebook.com/sscnTv123.
Au kwa simu namba: +255 757 847 883
+255 766 591 904
Email: hitsmusic11@gmail.com
Asante kwa ushiriki wako.
Jumamosi, 25 Julai 2015
CHRIS BROWN ARUHUSIWA KUONDOKA UFILIPINO BAADA YA KUKAMATWA SIKU NA KUWEKWA KIZUIZINI KWA SIKU MBILI.
Baada ya kuzuiliwa kutoka nchini Ufilipino kwa siku mbili hatimaye Chris Brown kaachiwa huru na kuondoka salama kabisa… msanii huyo ambaye alikuwa mjini Manila kwa ajili ya show alizuiliwa kuondoka siku ya Jumatano kutokana na madai ya kuwa hakutimiza wajibu wake wa kimkataba kipindi cha Mwaka mpya kuingia 2015.
TAZAMA VIDEO MPYA YA NAVY KENZO 'GAME' Ft. VANESSA MDEE 'V-Money' NA DOWNLOAD HAPA.
Navy Kenzo wameachia video ya wimbo wao mpya unaoitwa 'GAME' wakiwa wamemshirikisha Vanessa Mdee ndani,
Kama ungependa kuiona bonyeza Play kuicheki hap juu.
VIDEO YA STAA MWINGINE WA BONGO FLEVA IMEGONGA NAMBA MOJA KWENYE COUNTDOWN YA NIGERIA !!
Muziki wa Tanzania unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu, safari ya kuusogeza huu muziki kwenye level hizo inafanywa na mastaa wengi na wanaongezeka kila siku… Majina ya Vanessa Mdee na Diamond Platnumz kwenye Tuzo za MTV MAMA Awards 2015 ni ushahidi tosha kwamba YES, tunasogea mdogomdogo.
Good news ni kuwa
PESA ALIYOLIPWA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA VIDEO YAKE KUCHEZWA KWENYE TV YA MAREKANI
Diamond alipwa mpunga mwingi kwa wimbo wake kuchezwa BET.
Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.
Tazama hii video hapo juu ujue hizo milioni alizozichukua Diamond.
VIDEO YA RAISI OBAMA ALISALIMIA WAKENYA KWA KISWAHILI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA GES HUKO KENYA.…
Video Obama akisalimu kwa KISWAHILI.
Ndege ya Rais Obama ilitua July 24 2015 saa mbili usiku Jomo Kenyatta International Airport, Historia ikaandikwa kwa Rais huyo wa kwanza wa Marekani kutembelea Kenya.
Huwa nafuatilia sana stori za Obama na nikagundua kwamba ni mmoja ya Marais wacheshi sana na wanaopenda stori za utani utani hivi wakati mwingine.
July 25 2015 Rais Obama amefungua Kikao cha Global Entrepreneurship Summit Nairobi Kenya, baada ya kukaribiswa na mwenyeji wake, akasalimia kwa kiswahili cha Wakenya kabisa>>>> ‘Niaje wasee” >>>
Hiki hapa kipande cha Video wakati Rais Obama anasalimia kwa kiswahili.
Ijumaa, 24 Julai 2015
EXCLUSIVE: VIDEO YA DAVIDO AKIONGEA KUHUSU ILE BEEF YAKE NA DIAMOND PLATNUMZ
Msikilize Davido akizungumzia beef yake na Diamond Platnum baada ya wawili hao kuonekana hawana mahusiano mazuri hasa machoni pa wapenzi wa muziki waliokuwa wamekwisha kuanza kuupenda mziki wao wakiwa pamoja.
TAYLOR SWIFT NAE AMUOMBA NICKI MINAJ MSAMAHA KWA KUMSHAMBULIA TWITTER..!
Tylor Swift Nick Minaj
Kumekuwa na mivutano kati ya wasanii wa Kimarekani kwenye mtandao wa Twitter, tumeyaona ya Meek Mill akimshabulia Drake na ya Nicki Minaj kushambulia tuzo za MTV VMA’s 2015.
Baada ya blogs na websites nyingi kumuunga mkono Nicki Minaj juu ya tuzo hizo, msanii Taylor Swift
ameaanza kuelewa sababu iliyomsukuma Nicki kuongea vile mtandaoni. Na
kuonyesha kuwa hana kinyongo msanii huyo alipost ujumbe twitter akisema…
Alhamisi, 23 Julai 2015
CHRIS BROWN STILL STUCK IN THE PHILIPINES
In a profanity-laced, now-deleted video, Grammy-winning singer Chris Brown vented his frustration Thursday (July 23) at being stuck in the Philippines for a second day after running afoul of a politically powerful religious group that filed a fraud complaint against him for a canceled concert.
Brown was still in the country Thursday evening and had not applied for the emigration clearance he
TAZAMA SSCN TV LIVE KWA VIPINDI VYOTE UKIWA ONLINE KWA KIFAA CHOCHOTE KINACHO SAPOTI INTERNET
Sasa unaweza kutazama vipindi vyetu vyote ukiwa na simu yako ya mkononi, Tablet, Laptop na kompyuta ya nyumbani kwa kuingia katika blog yetu hii ya 'www.hitsmusicshow.blogspot.com' na kutazama vipindi vyote vilivyopita na vinavyoendelea muda huo.
LYRICS ZA WIMBO WA JAY Z ALIOITAJA TANZANIA KATIKA MISTARI YAKE
Jay Z akiwa na Nas
Artist:Jay-Z
Song:
Oh my God
Album: Kingdom Come
Released: 2006
Lyrics
You are tuned in
To the greatest
Young H-O-V
Let's go get em again, Just
Oh my God
TAZAMA KIPINDI CHAKO CHA HITs MUSIC NDANI YA SSCN TV KUANZIA JUMATATU HADI IJUMAA, SAA 12.00 HADI SAA 2.00 USIKU
Katika Tv yako utakutana na DVJ Mkali ambapo utapa kutazama video kali zinazokita town kuanzia ndani ya Bongo hadi Afrika Mashariki.
UTAMBULISHO WA WASHINDANIA (NOMINEES) TUZO ZA MTV’s VIDEO MUSIC AWARDS (VMA)MWAKA HUU ZAZUA UTATA NA UGOMVI MKUBWA KATI YA MSANII NICK MINAJ NA TAYLOR SWIFT.
Rapa Kutoka marekani Nick Minaji amejikuta katika vichwa vya habari baada ya hapo jana usiku kutumia mtandao wake wakijamii wa twitter kutuma maneno ambayo hasa yalionekana kutovumilika na mwimbaji
Jumatano, 22 Julai 2015
Meek Mill Blasts Drake for Using a Ghostwriter, Rick Ross and Chris Brown Weigh In on the Beef
Not to be outdone, Nicki Minaj’s boyfriend Meek Mill went off on Drake on Twitter—just hours after Nicki’s VMAs tirade aimed at Taylor Swift.
On Kendrick Lamar’s brilliant rap song “King Kunta,” the Compton MC
FULL SHANGWE NDANI YA CLUB MASAI NDANI YA GOLD CITY KAHAMA WE HERE TONIGHT
Ndani ya Club Masai katika mji wa Kahama The Gold City kutakuwa na bonge la Party.
Jongea pale ndani tuwe pamoja........
Kutakuwa na Dj's wakali wenye kutoa mixing za nguvu mpaka Majogoooooooooo.....
Unakosaje sasa........................
Miley Cyrus to host 2015 Video Music Awards
Miley Cyrus
On Monday, MTV announced that Miley Cyrus will host the 2015 Video Music Awards.
Actually, Cyrus announced it Millennial-style: on her Twitter and Instagram accounts, wearing a sign that read, 'MTV won't let me perform ... so I'm hosting this year's VMA's.' Naturally, her photo announcement
List na majina ya washindi MTV Africa Music Awards 2015 (Mama).
Tanzania tunajivunia kuwa na majina ya wasanii wawili yaliyotuwakilisha katika tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 (MAMA).
Wasanii hao ni Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ‘Vee-Money’
Tuzo hizo zimetolewa huko mjini Durban, South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.
Jumanne, 21 Julai 2015
MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO, GEITA
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jana jioni katika viwanja vya Mji mdogo wa Muganza, wilayni Chato Mkoani Geita, Mh. Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.
Dkt. Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM. Mh. Magufuli yuko jimboni kwake Wilayani Chato kuwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya…
Huu ni Mwezi mgumu kwa Mwanamuziki Diamond Platnumz..Angalia hii Ratiba Hapa
King of Afro pop anazidi kupata tatizo la kutokupumzika kutokana na kuwa hot cake ambapo kila sehemu wanamuhitaji akatoe show licha ya kuwa na gharama kubwa sana anayotoza kuperform kila show
Sasa >> Nana media tour Nigeria ambapo amesafiri na team yake watu 5, na gharama zote zimelipwa na cocacola mpaka watakapo rudi Tanzania kupitia campaign ya #Iamareason
3, July >> Nigeria road to mama
4, July >> Tanzania, sherehe ya miaka 80 ya Yanga, jangwani
8, July >> Singida, with Mohammed Dewji
18, July >> South Africa, MTVMAMA2015 ambapo atatumbuiza na NEYO
24, July >> Kilimanjaro Miss ambassador ambapo show inaweka rekodi kuwa na viingilio vikubwa nje ya dares salaam
30,000/=, mpaka 300,000/=
25, July >> South Africa, African achievers awards ambapo amekuwa nominated kama Most inspiring icon
Sasa >> Nana media tour Nigeria ambapo amesafiri na team yake watu 5, na gharama zote zimelipwa na cocacola mpaka watakapo rudi Tanzania kupitia campaign ya #Iamareason
3, July >> Nigeria road to mama
4, July >> Tanzania, sherehe ya miaka 80 ya Yanga, jangwani
8, July >> Singida, with Mohammed Dewji
18, July >> South Africa, MTVMAMA2015 ambapo atatumbuiza na NEYO
24, July >> Kilimanjaro Miss ambassador ambapo show inaweka rekodi kuwa na viingilio vikubwa nje ya dares salaam
30,000/=, mpaka 300,000/=
25, July >> South Africa, African achievers awards ambapo amekuwa nominated kama Most inspiring icon
ROSE MUHANDO: NAFIKIRIA KURUDI KWENYE UISLAM
Akizungumza na Amani hivi karibuni, Rose alisema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka.
Pia Rose alikwenda mbali zaidi kwa kuwarushia madongo baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.
“Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu.
“Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose.
Mwimbaji huyo amekuwa akikumbwa na skendo ya utapeli ambapo hudaiwa kupokea fedha kwa ajili ya kutumbuiza kwenye matamasha ya dini halafu kuingia mitin
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)