Ijumaa, 24 Julai 2015
EXCLUSIVE: VIDEO YA DAVIDO AKIONGEA KUHUSU ILE BEEF YAKE NA DIAMOND PLATNUMZ
Msikilize Davido akizungumzia beef yake na Diamond Platnum baada ya wawili hao kuonekana hawana mahusiano mazuri hasa machoni pa wapenzi wa muziki waliokuwa wamekwisha kuanza kuupenda mziki wao wakiwa pamoja.
Davido ni msanii kutoka nchini Nigeria ambapo ilionekana alipisha mawazo na msanii mwenzie Diamond Platnum kutoka Tanzania baada ya kuandika katika ukurasa wake wa twitter kitu ambacho hakikumpendeza staa hyo wa Tanzania na kuzua mzozo mkubwa mpaka kwa mashabiki wa pande zote mbili.
Diamond Platnum na Davido wamewahi kufanya kazi ya pamoja ambayo ilikuwa ni nyimbo ya 'My number one remix' kutoka kwa Diamond Platnum na kufanya Davido apate ushabiki mkubwa na kujulikana vyema nchini Tanzania lakini vile vile kwa Diamond Platnum.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni