Muziki wa Tanzania unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu, safari ya kuusogeza huu muziki kwenye level hizo inafanywa na mastaa wengi na wanaongezeka kila siku… Majina ya Vanessa Mdee na Diamond Platnumz kwenye Tuzo za MTV MAMA Awards 2015 ni ushahidi tosha kwamba YES, tunasogea mdogomdogo.
Good news ni kuwa
leo inamhusu Omary Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz, ishu ya kuwa NUMBER 1 kwenye countdown za shows mbalimbali nje ya nchi sio kitu kidogo.
‘Wanjera‘ ya Ommy Dimpoz imefanikiwa kugonga number 1 kwenye chati ya Sound City TV Nigeria.
Wiki hii Ommy Dimpoz ameshika namba moja kwenye countdown ya Soundcity Top Ten East na wimbo wa Wanjera hii ni good news kwa Watanzania kwa msanii mwengine wa Bongo Fleva kuonekana kwenye nafasi ya namba moja.
Ommy Dimpoz alipost ujumbe huu Instagram kuonyesha furaha yake.
Big
S/O to SoundCityTv We are no 1 this week & please Let’s keep Voting
for
@afrimma Awards #BestNewComer link iko kwa Bio yangu
cc @iamvjadams
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni