Jumapili, 26 Julai 2015
MIPANGO YA CHEGE 2015. AZIPANIA HEADLINES ZA AFRIKA
Malengo ya Chege yameendelea kuvuka mipaka na sasa lengo lake analofanyia kazi ni kutaka kuvuka mipaka na kuziunganisha nchi mbalimbali za Afrika kuupokea
na kuushabikia muziki wake, muziki anaoufanya hataki uishie Kenya na ndio maana kasafiri mpaka South Africa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni