Social Icons



Alhamisi, 23 Julai 2015

UTAMBULISHO WA WASHINDANIA (NOMINEES) TUZO ZA MTV’s VIDEO MUSIC AWARDS (VMA)MWAKA HUU ZAZUA UTATA NA UGOMVI MKUBWA KATI YA MSANII NICK MINAJ NA TAYLOR SWIFT.


Rapa Kutoka marekani Nick Minaji amejikuta katika vichwa vya habari baada ya hapo jana usiku kutumia mtandao wake wakijamii wa twitter kutuma maneno ambayo hasa yalionekana kutovumilika na mwimbaji
mwenzake wa kike kutoka nchini humo baada ya kujibu twits zake na kuzua gumzo hadi ambapo msanii mwingine wa kiume Bruno Mars alipo twit kwa utani kuhusu malumbano hayo kwa kuandika hivi kwa kumjibu msanii mwenzie Ed Sheeran

Hakuna maoni:

FOOTBALL NEWS

 
Blogger Templates