Social Icons



Jumamosi, 25 Julai 2015

VIDEO YA RAISI OBAMA ALISALIMIA WAKENYA KWA KISWAHILI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA GES HUKO KENYA.…



                         Video Obama akisalimu kwa KISWAHILI. 

Ndege ya Rais Obama ilitua July 24 2015 saa mbili usiku Jomo Kenyatta International Airport, Historia ikaandikwa kwa Rais huyo wa kwanza wa Marekani kutembelea Kenya.
Huwa nafuatilia sana stori za Obama na nikagundua kwamba ni mmoja ya Marais wacheshi sana na wanaopenda stori za utani utani hivi wakati mwingine.
July 25 2015 Rais Obama amefungua Kikao cha Global Entrepreneurship Summit Nairobi Kenya, baada ya kukaribiswa na mwenyeji wake, akasalimia kwa kiswahili cha Wakenya kabisa>>>> ‘Niaje wasee” >>>


Hiki hapa kipande cha Video wakati Rais Obama anasalimia kwa kiswahili.

Hakuna maoni:

FOOTBALL NEWS

 
Blogger Templates