Katika Tv yako utakutana na DVJ Mkali ambapo utapa kutazama video kali zinazokita town kuanzia ndani ya Bongo hadi Afrika Mashariki.
Sio ya kukosa hata kidogo.
Sku ni Jumatatu hadi Ijumaa na Muda ni kuanzia saa 12.00 jioni hadi 2.00 usiku ndani ya TV yako namba moja na ya kipekee In GOLD CITY all the way Kahama Tanzania.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni