Jumanne, 28 Julai 2015
Meek Mill na Nicki Minaj ndani ya video moja 'all eyes on me'..
Wiki chache zilizopita Meek Mill aliweka headlines kubwa na wimbo wake wa All Eyes on You aliomshirikisha girlfriend wake Nicki Minaj na RnB Superstar Chris Brown, wimbo ambao
ulifanya vizuri sana kwenye chati za Billboard. Hawajakaa kimya sana, Meek Mill, Nicki Minaj na Chris Brown wamerudi tena kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni