
Picha hizi zinawaonyesha staa wa mziki wa bongo fleva Diamond na mpenzi wake TheBoss Zari ameweka picha Instagram ambazo zimeleta mvuto wa pekee na kufanya kuongelewa sana na kupendwa na watu wengi.
Zari mpaka sasa ana ujauzito anaoweza kujifungua muda wowote kutoka sasa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni