Mrisho Mpoto
Mastaa hujisikia vizuri wakati mwingine
wakitembelea kwenye Shule ambazo walisoma zamani… wanafunzi nao
hujisikia furaha kusoma kwenye Shule ambazo mastaa wamesoma, wengine
wakiona hivyo wanapata moyo kwamba hata wao wanaweza kuwa mastaa siku
moja.
Mrisho Mpoto ametembelea
Wilaya Namtumbo, Ruvuma ambako alisoma Shule ya Msingi akaona asiwaache
hivihivi, kapiga story na Wanafunzi alafu akawaachia na zawadi pia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni