Social Icons



Jumamosi, 22 Agosti 2015

Maneno ya Master Jay juu ya wasanii wasio na vipaji na maproducer


                                                                     Master Jay
Mtayarishaji muziki mkongwe nchini ambae pia ni miongoni mwa majaji katika shindano kubwa nchini la kusaka vipaji vya uimbaji EBSS (Epic Bongo Star Search) , Master Jay, amesema hakuna ubaya wowote kwa maproducer wa sasa kumrekodi msanii bila kujali hata kipaji chake kwasababu

ILE COLLABO ILIYOKUWA IKISEMWA SANA TANGU TUZO ZA MAMA YA DIAMOND NA MAFIKIZOLO ITAITWA 'TELL EVERY ONE'



Baada ya kuweka headlines siku ya jana kwa kufanya collabo na superstaa kutoka Marekani Ne-Yo, staa wa Bongo Flava Diamond Platnumz yupo njiani kuelekea South Africa kufanya

DOWNLOAD NA TAZAMA VIDEO YA RAPPER WA EAST AFRIKA KING KAKA, JOH MAKINI & G NAKO..King Kaka - Najipendelea ft Joh Makini and G Nako (Official Music Video)

Alhamisi, 20 Agosti 2015

KAKA SUNGURA 'RABBIT' TOKA KENYA ATANGAZA BEI ZA PRODUCTION ZAKE

                                                                      Rabbit

Kaka Sungura ndiyo jina analojulikana ni rapa kutoka Kenya anayesifika kwa uandishi wa mistari katika mtindo wa Poetry anaemiliki pia rebo ya Kaka Empire amabayo inamiliki wasanii kadhaa nchini humo kama Avril toka Kenya na baadhi kama Rich Mavoko toka Tanzania..

NAHREEL KUFUNGUA CHUO CHA MAFUNZO YA PRODUCTION



                                                                            Nahreel

Producer mkali kutoka studio ya 'The Industry' Bongo, Nahreel kumbe yupo kwenye mpango wa kufungua chuo cha Production ya muziki?? amesema mafunzo ya production yataanza hivi

Jumanne, 18 Agosti 2015

BIRDMAN AENDELEA KUANDAMWA NA KESI NA KWA MARA HII PRODYUZA WAKE AMEMFIKISHA MAHAKANI

                                                                       Birdman


Producer wa Birdman, DVLP anamshitaki rapper huyo dhidi ya deni la dola 200,000 (sawa na Tzs. Million 400) kwa kazi za production ambazo boss huyo wa Cash Money Records hakumlipa.

Producer DVLP ndiye aliyesimamia wimbo wa “develop” lakini Birdman

DOWNLOAD NA TAZAMA WIMBO MPYA WA Malaika Music Band - Amerudi (Official Music Video)

Jumamosi, 8 Agosti 2015

#Exclusive Part II: Nilikua sijui hii ya Huddah Monroe na Prezzo, mtoto ...

Usikose kutazama hit's music kila siku juma tatu hadi ijumaa kuanzia saa 6:00 pm mpaka saa 8:00 pm kwa burudani zaidi kutoka kwa professional dj's

Jumatano, 5 Agosti 2015

Je, UNGEPENDA KUSIKIA WIMBO WA WASANII GANI WALIOSHIRIKIANA....




Nafasi hii inaweza kuwa nzuri ambapo sasa inaweza kuwakutanisha mabigwa wa michano hapa bongo ambao tayari wametoa kauli za kila mmoja kumkubali mwenzake na kazi anayoifanya. hapa tunawazungumzia Mr. Blue staa wa AYAYA akiwa na Navio wa UGANDA.

NAY WA MITEGO AAMUA KUTUMIA NAMBA ZA 966 KAMA UTAMBULISHO WAKE HATA KATIKA VITU VYAKE IKIWEMO MAGARI


                                                                       Nay wa mitego

Nay wa Mitego licha ya kuanza kuzitaja namba za 966 kwenye nyimbo zake, amesema pia atakua akitumia namba hizo hata katika magari yake..amesema huwa anatoa oda na kusubiri…Ni kitu ambacho ameamua iwe hivyo kwa gharama yoyote ile. Nay ambae sasa anatamba na wimbo wake

Jumapili, 2 Agosti 2015

DOWNLOAD NA TAZAMA WIMBO MPYA WA HEMEDY PHD IMEBAKI STORY


MUZIKI UNAVYOWEZA KUBADIRI MAISHA YA WASANII. JE, SHETTA KABADIRIKA VIPI?



Ukubwa wa hit singo za wasanii wa Tanzania huwa zinabadilisha vitu vingi sana ukiachana na vile vinavyoonekana moja kwa moja vipo ambavyo pengine mpaka upate nafasi ya kuviuliza ndipo ufahamu.

Shetta mkali kwenye game ya Bongo Fleva kwenye Exclusive interview

FID Q AIKATAA SIASA KWA KUOGOPA UONGO WAKE.



Star na mkali wa muziki wa Hip Hop Africa Farid Kubanda a.k.a Fid Q ameeleza kuwa hana mpango wowote wa kuingia katika siasa za kibongo licha ya kuombwa na watu wengi kugombea nafasi yoyote katika siasa.

Maelezo hayo ameyaongea baada ya kuonekana wimbi kubwa la wasanii

Ijumaa, 31 Julai 2015

DOWNLOAD NA TAZAMA VIDEO MPYA YA ERICOM PMP - MY AFRICAN QUEEN

DOWNLOAD NA TAZAMA SONG YA BAHATI ft WYRE & KING KAKA - KUCHU KUCHU (Official Video)

BASATA YAMFUNGIA SHILOLE KUTOFANYA MZIKI KWA MWAKA MZIMA.




Habari zilizofika hivi punde kutoka BASATA July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ni kwamba baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.

Barua iliyoifikia millardayo.com ambayo imeandikwa kutoka BASATA imesema

Dj Khaled AWAKUMBUSHA Dj's KUWAPA SAPOTI WASANII BILA KUJARI HALI ZAO NA KUWEKA CHUKI PEMBENI

                                                                   Dj KHALED

Mvutano wa watu kutokupeana support kwenye game ya muziki haipo tu kwa wasanii Tanzania, hali hiyo ipo hata kwa wasanii wa Marekani pia tena kwa wao hata ma DJ’s kupeana support kwenye kazi zao sometimes inakuwa ngumu.

Alhamisi, 30 Julai 2015

TAZAMA HAPA ALICHOKISEMA BIRDMAN JUU YA UKWELI KUHUSU BEEF YAKE NA LIL WAYNE. INTERVIEW WITH ANGEL MARTINEZ POWER 105.1 (07/29/2015)

   
Kumekuwa na stori nyingi sana kuhusiana na ugomvi wa Lil Wayne na Birdman, tukasikia kuwa Lil Wayne anataka kuondoka Cash Money Records kwasababu Birdman hataki kumlipa hela yake.
Tukasikia ugomvi umefikishwa Mahakamani na Lil Wayne

Jumanne, 28 Julai 2015

MUDDY CARS SOUND WASILIANA NAO KUPATA SOUND SYSTEM KALI NDANI YA GARI LAKO SASA..

SNOOP DOGG AKAMATWA SWEDEN KWA KOSA LA DAWA ZA KULEVYA...SOMA ALICHOKISEMA HAPA

                                                                     Snoop Dogg

Kusikia Rapper Snoop Dogg kukamatwa na Polisi kisa dawa za kulevya sio story mpya kabisa, stori ni kwamba jamaa alipokuwa kwenye show Sweden, baada ya kumaliza alikamatwa na Polisi wakati akiwa anajiandaa kurudi zake Marekani.
Snoop alikamatwa akihusishwa na kosa la kutumia dawa za kulevya

TAZAMA VIDEO INAYOMWONGELEA BOBBI KRISTINA, ALIYEKUWA MTOTO WA WITNEY HOUSTON. #FinalPeace

Bobbi Kristina familia yake yathibitisha kifo chake… #RIP Bobbi Kristina #FinalPeace

                                                              Bobbi Kristina

Imepita miezi sita toka Bobbi Kristina mtoto wa marehemu Whitney Houston akutwe amepoteza fahamu bafuni kwake, na toka kipindi hicho amekuwa kwenye coma kwa muda mrefu hospitalini kabla ya familia yake kumhamishia nyumbani baada ya kuona hakuna matumaini ya ziada.

Picha zenye mvuto mwingine Instagram Diamond na Zari

Lil Wayne na Birdman....Birdman hakuhusika kabisa anadai kutohusika na lolote!?


Ni mwezi mmoja umepita toka Lil Wayne na Birdman waziandike headlines baada ya ugomvi wao kuwa mkubwa kufikia Birdman kulipiga risasi Tour bus la Lil Wayne ili kumuua.
Polisi wanasema Birdman na rappa Young Thug

DOWNLOAD NA TAZAMA TRACK HII YA Abela Kibira - Ball and Chain - 2012 - Directed By SharpestMemory

DOWNLOAD NA TAZAMA VIDEO MPYA YA Meek Mill - All Eyes On You (Music Video) Ft. Nicki Minaj & Chris Brown

                                           


 Hii ndiyo video iliyomshirikisha Chris Brown na bila kumsahau mrembo na rapper wa YMCMB 'Nick Minaj' ambae pia ni mpenzi wa Rapper kutoka MMG 'Meek Mill'. Track hii imeshika nafasi za juu ndani ya chati za billboard na kuwafanya wakali hao kurudi katika headlines za habari mbalimbali duniani kote.

Unaweza kuicheki hapa na kuidownload.

Mrisho Mpoto kuikumbuka Shule yake ya Msingi Songea. NAMTUMBO



                                                                Mrisho Mpoto

Mastaa hujisikia vizuri wakati mwingine wakitembelea kwenye Shule ambazo walisoma zamani… wanafunzi nao hujisikia furaha kusoma kwenye Shule ambazo mastaa wamesoma, wengine wakiona hivyo wanapata moyo kwamba hata wao wanaweza kuwa mastaa siku moja.

Meek Mill na Nicki Minaj ndani ya video moja 'all eyes on me'..



Wiki chache zilizopita Meek Mill aliweka headlines kubwa na wimbo wake wa All Eyes on You aliomshirikisha girlfriend wake Nicki Minaj na RnB Superstar Chris Brown, wimbo ambao

Jumapili, 26 Julai 2015

Izzo, Bizness, Stamina, Godzillah kwenye usiku wa Rap Festival Dar Live

                                                                      Izzo Business



July 25 2015  itabakia kuwa historia kubwa kwa wakazi wa 88.5 kwa kupokea shangwe za burudani kutoka kwa, Izzo Bizness, Darasa, Stamina,Young Killer, Roma Mkatoliki,Godzillah,Nikki Mbishi  kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam.
Show hiyo iliyopewa jina la Rap Festival iliandaliwa na mtangazaji wa Clouds TV Nickson George aka Lugha

DOWNLOAD NA TAZAMA HAPA HIT MPYA YA Victoria Kimani - Two of Dem

                                         

Moja ya mstaa wa kike wanaofanya vyema katika game ya burudani ni pamoja na Victoria Kimani kutoka Kenya’ Prokoto’ ni moja ya wimbo wake uliovuma sana akiwashirikisha mastaa wa kibongo Diamond pamoja na Ommy Dimpoz.

MIPANGO YA CHEGE 2015. AZIPANIA HEADLINES ZA AFRIKA


Malengo ya Chege yameendelea kuvuka mipaka na sasa lengo lake analofanyia kazi ni kutaka kuvuka mipaka na kuziunganisha nchi mbalimbali za Afrika kuupokea

WASILIANA NASI KUPITIA BLOG HII.

Wasiliana na ofisi zetu zilizopo mjini kahama na unaweza kufika moja kwa moja ofisini kwetu mkabala na Benki ya Azania.

Kama una Matangazo,
                 Kipindi binafsi,
                 Makala,
                 Ama unahitaji kuwa mmoja wa wanajamii hii fadhari usisite kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa facebook ambao ni

                                     www.facebook.com/sscnTv123.

Au kwa simu namba: +255 757 847 883

                                   +255 766 591 904

Email:                         hitsmusic11@gmail.com


Asante kwa ushiriki wako.

Jumamosi, 25 Julai 2015

CHRIS BROWN ARUHUSIWA KUONDOKA UFILIPINO BAADA YA KUKAMATWA SIKU NA KUWEKWA KIZUIZINI KWA SIKU MBILI.


Baada ya kuzuiliwa kutoka nchini Ufilipino kwa siku mbili hatimaye Chris Brown kaachiwa huru na kuondoka salama kabisa… msanii huyo ambaye alikuwa mjini Manila kwa ajili ya show alizuiliwa kuondoka siku ya Jumatano kutokana na madai ya kuwa hakutimiza wajibu wake wa kimkataba kipindi cha Mwaka mpya kuingia 2015.

TAZAMA VIDEO MPYA YA NAVY KENZO 'GAME' Ft. VANESSA MDEE 'V-Money' NA DOWNLOAD HAPA.

                                      

Navy Kenzo wameachia video ya wimbo wao mpya unaoitwa 'GAME' wakiwa wamemshirikisha Vanessa Mdee ndani,
Kama ungependa kuiona bonyeza Play kuicheki hap juu.

VIDEO YA STAA MWINGINE WA BONGO FLEVA IMEGONGA NAMBA MOJA KWENYE COUNTDOWN YA NIGERIA !!


Muziki wa Tanzania unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu, safari ya kuusogeza huu muziki kwenye level hizo inafanywa na mastaa wengi na wanaongezeka kila siku… Majina ya Vanessa Mdee na Diamond Platnumz kwenye Tuzo za MTV MAMA Awards 2015 ni ushahidi tosha kwamba YES, tunasogea mdogomdogo.
Good news ni kuwa

PESA ALIYOLIPWA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA VIDEO YAKE KUCHEZWA KWENYE TV YA MAREKANI



       Diamond alipwa mpunga mwingi kwa wimbo wake kuchezwa BET.

Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.

Tazama hii video hapo juu ujue hizo milioni alizozichukua Diamond.

VIDEO YA RAISI OBAMA ALISALIMIA WAKENYA KWA KISWAHILI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA GES HUKO KENYA.…



                         Video Obama akisalimu kwa KISWAHILI. 

Ndege ya Rais Obama ilitua July 24 2015 saa mbili usiku Jomo Kenyatta International Airport, Historia ikaandikwa kwa Rais huyo wa kwanza wa Marekani kutembelea Kenya.
Huwa nafuatilia sana stori za Obama na nikagundua kwamba ni mmoja ya Marais wacheshi sana na wanaopenda stori za utani utani hivi wakati mwingine.
July 25 2015 Rais Obama amefungua Kikao cha Global Entrepreneurship Summit Nairobi Kenya, baada ya kukaribiswa na mwenyeji wake, akasalimia kwa kiswahili cha Wakenya kabisa>>>> ‘Niaje wasee” >>>


Hiki hapa kipande cha Video wakati Rais Obama anasalimia kwa kiswahili.

Ijumaa, 24 Julai 2015

EXCLUSIVE: VIDEO YA DAVIDO AKIONGEA KUHUSU ILE BEEF YAKE NA DIAMOND PLATNUMZ



                                          
Msikilize Davido akizungumzia beef yake na Diamond Platnum baada ya wawili hao kuonekana hawana mahusiano mazuri hasa machoni pa wapenzi wa muziki waliokuwa wamekwisha kuanza kuupenda mziki wao wakiwa pamoja.

TAYLOR SWIFT NAE AMUOMBA NICKI MINAJ MSAMAHA KWA KUMSHAMBULIA TWITTER..!



                                               Tylor Swift                      Nick Minaj


Kumekuwa na mivutano kati ya wasanii wa Kimarekani kwenye mtandao wa Twitter, tumeyaona ya Meek Mill akimshabulia Drake na ya Nicki Minaj kushambulia tuzo za MTV VMA’s 2015.

Baada ya blogs na websites nyingi kumuunga mkono Nicki Minaj juu ya tuzo hizo, msanii Taylor Swift ameaanza kuelewa sababu iliyomsukuma Nicki kuongea vile mtandaoni. Na kuonyesha kuwa hana kinyongo msanii huyo alipost ujumbe twitter akisema…

Alhamisi, 23 Julai 2015

CHRIS BROWN STILL STUCK IN THE PHILIPINES



In a profanity-laced, now-deleted video, Grammy-winning singer Chris Brown vented his frustration Thursday (July 23) at being stuck in the Philippines for a second day after running afoul of a politically powerful religious group that filed a fraud complaint against him for a canceled concert.
Brown was still in the country Thursday evening and had not applied for the emigration clearance he

TAZAMA SSCN TV LIVE KWA VIPINDI VYOTE UKIWA ONLINE KWA KIFAA CHOCHOTE KINACHO SAPOTI INTERNET

Sasa unaweza kutazama vipindi vyetu vyote ukiwa na simu yako ya mkononi, Tablet, Laptop na kompyuta ya nyumbani kwa kuingia katika blog yetu hii ya 'www.hitsmusicshow.blogspot.com' na kutazama vipindi vyote vilivyopita na vinavyoendelea muda huo.

DOWNLOAD NA TAZAMA VIDEO MPYA YA DONALD FT DIAMOND PLATINUM HAPA

LYRICS ZA WIMBO WA JAY Z ALIOITAJA TANZANIA KATIKA MISTARI YAKE

Jay Z akiwa na Nas
 Artist:Jay-Z Song: 
Oh my God 
Album: Kingdom Come 
Released: 2006

Lyrics

You are tuned in
To the greatest
Young H-O-V
Let's go get em again, Just
Oh my God

TAZAMA KIPINDI CHAKO CHA HITs MUSIC NDANI YA SSCN TV KUANZIA JUMATATU HADI IJUMAA, SAA 12.00 HADI SAA 2.00 USIKU

Katika Tv yako utakutana na DVJ Mkali ambapo utapa kutazama video kali zinazokita town kuanzia ndani ya Bongo hadi Afrika Mashariki.

UTAMBULISHO WA WASHINDANIA (NOMINEES) TUZO ZA MTV’s VIDEO MUSIC AWARDS (VMA)MWAKA HUU ZAZUA UTATA NA UGOMVI MKUBWA KATI YA MSANII NICK MINAJ NA TAYLOR SWIFT.


Rapa Kutoka marekani Nick Minaji amejikuta katika vichwa vya habari baada ya hapo jana usiku kutumia mtandao wake wakijamii wa twitter kutuma maneno ambayo hasa yalionekana kutovumilika na mwimbaji

Jumatano, 22 Julai 2015

Meek Mill Blasts Drake for Using a Ghostwriter, Rick Ross and Chris Brown Weigh In on the Beef

Not to be outdone, Nicki Minaj’s boyfriend Meek Mill went off on Drake on Twitter—just hours after Nicki’s VMAs tirade aimed at Taylor Swift. On Kendrick Lamar’s brilliant rap song “King Kunta,” the Compton MC

FULL SHANGWE NDANI YA CLUB MASAI NDANI YA GOLD CITY KAHAMA WE HERE TONIGHT


Ndani ya Club Masai katika mji wa Kahama The Gold City kutakuwa na bonge la Party.
Jongea pale ndani tuwe pamoja........
Kutakuwa na Dj's wakali wenye kutoa mixing za nguvu mpaka Majogoooooooooo.....
Unakosaje sasa........................

DOWNLOAD ERICOM P.M.P mr AFRICAN FLAVOUR- 2NAFANYAGA #(Official video)FAST JET

P UNIT WEKA WEKA-OFFICIAL VIDEO

Miley Cyrus to host 2015 Video Music Awards


                                                                Miley Cyrus



On Monday, MTV announced that Miley Cyrus will host the 2015 Video Music Awards.
Actually, Cyrus announced it Millennial-style: on her Twitter and Instagram accounts, wearing a sign that read, 'MTV won't let me perform ... so I'm hosting this year's VMA's.' Naturally, her photo announcement

List na majina ya washindi MTV Africa Music Awards 2015 (Mama).




Tanzania tunajivunia kuwa na majina ya wasanii wawili yaliyotuwakilisha katika tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 (MAMA).
Wasanii hao ni Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ‘Vee-Money’
Tuzo hizo zimetolewa huko mjini Durban, South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.

Jumanne, 21 Julai 2015

USIKOSE KUTAZAMA KIPINDI CHA HITS MUSIC SSCN TV DVJ MKALI KUHUSIKA ZAIDI

http://www.hitsmusicshow.blogspot.com/news&artist.html

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO, GEITA

   Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jana jioni katika viwanja vya Mji mdogo wa Muganza, wilayni Chato Mkoani Geita, Mh. Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.
  Dkt. Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM. Mh. Magufuli yuko jimboni kwake Wilayani Chato kuwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya…

Huu ni Mwezi mgumu kwa Mwanamuziki Diamond Platnumz..Angalia hii Ratiba Hapa

King of Afro pop anazidi kupata tatizo la kutokupumzika kutokana na kuwa hot cake ambapo kila sehemu wanamuhitaji akatoe show licha ya kuwa na gharama kubwa sana anayotoza kuperform kila show

Sasa >> Nana media tour Nigeria ambapo amesafiri na team yake watu 5, na gharama zote zimelipwa na cocacola mpaka watakapo rudi Tanzania kupitia campaign ya #Iamareason

3, July >> Nigeria road to mama

4, July >> Tanzania, sherehe ya miaka 80 ya Yanga, jangwani

8, July >> Singida, with Mohammed Dewji

18, July >> South Africa, MTVMAMA2015 ambapo atatumbuiza na NEYO

24, July >> Kilimanjaro Miss ambassador ambapo show inaweka rekodi kuwa na viingilio vikubwa nje ya dares salaam
30,000/=, mpaka 300,000/=

25, July >> South Africa, African achievers awards ambapo amekuwa nominated kama Most inspiring icon

ROSE MUHANDO: NAFIKIRIA KURUDI KWENYE UISLAM



Muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando.
NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando amesema hakuna jambo jema alilojifunza tangu abadili dini kutoka kwenye Uislamu na kuwa Mkristo zaidi ya ‘ugaidi’ wa kiroho mbaya na sasa anaangalia namna ya kurudi katika imani yake ya kwanza.

Akizungumza na Amani hivi karibuni, Rose alisema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka.

Pia Rose alikwenda mbali zaidi kwa kuwarushia madongo baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

“Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu.

“Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose.

Mwimbaji huyo amekuwa akikumbwa na skendo ya utapeli ambapo hudaiwa kupokea fedha kwa ajili ya kutumbuiza kwenye matamasha ya dini halafu kuingia mitin

Ijumaa, 13 Machi 2015

UDAKU NA UMBEYA WA MASTAA WA BONGO;RAY, THEA NUSURA WAZICHAPE

WAIGIZAJI Vincent Kigosi ‘Ray’ na Salome Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ nusura wazichape baada ya Klabu ya Bongo Movie Unit kumgeuzia kibao mwanadada huyo kufuatia kitendo chake cha kuanika uozo unaofanywa na ‘memba’ wa klabu hiyo. Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, kisa cha wasanii hao kumgeuzia kibao Thea ni kutokana na habari iliyochapishwa na gazeti ndugu la hili, Risasi Jumamosi iliyotolewa na mwanadada huyo  ikilaani vitendo vinavyofanywa na waigizaji hao vinavyoichafua tasnia ya filamu kwa jumla.
Chanzo hicho kiliendelea kudadavua kuwa kasheshe lilitokea mara tu baada ya Thea na mumewe Michael Sangu ‘Mike’ kuingia kwenye pati ya mtoto wa msanii mwenzao, Shamsa Ford ambapo mwigizaji Mayasa Mrisho ‘Maya’ alimrukia kwa kumkaribisha huku akimsifia na kumkumbushia alichokisema gazetini kuwa ni kizuri kinaweza kusaidia watu kubadilika.

 
Vincent Kigosi ‘Ray’.

“Maya alijifanya kumsifia sana Thea na kumwambia kuwa wasanii walikuja juu lakini yeye aliona ni sawa alichokisema ingawa kumbe alimsifia kwa unafiki kwani alipomuona Ray anatoka ndani akamgeuzia kibao na kuanza kuongea naye kwa kumgombeza,” kilisema chanzo.
Hata hivyo, chanzo kiliendelea kudai kuwa Maya alipoona hajasikika akamuita Ray na kumwambia kama amemuona mbaya wao Thea?
Ilidaiwa kuwa baada ya kuambiwa hivyo, ndipo Ray akamdakia Thea na kuanza kumlaumu akimwambia hakutegemea kama angetoa siri za chumbani kwenye vyombo vya habari kwa sababu anamwamini kama dada yake.
Ilifahamika kuwa baadaye Ray alianza kupaza sauti akitaka kumkwida Thea ambaye naye alipandwa na hasira huku akimwelewesha kwa kutoa maelezo ili kumshusha waongee kwa ustaarabu.

Michael Sangu ‘Mike’.
Hata hivyo, Maya, baada ya kuona amezua timbwili aliondoka eneo hilo na kuwaachia ‘soo’ wenyewe ambapo kama siyo Mike na wasanii wenzake, Deogratius Shija, Nikita na Rado damu ingemwagika.
Baada ya habari hiyo kujaa tele kwenye meza ya Ijumaa Wikienda, gazeti hili lilimtafuta Mike ambaye aliweka wazi kilichotokea na kudai kuwa Ray na Thea ni mtu na dada yake hivyo hawawezi kukwidana kwani mwisho walikaa na kuyamaliza

Wakamatwa na Viungo vya Albino Mwanza

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 55 wakiwa na viungo vya binadamu vikiwamo meno na nywele vinavyodaiwa kuwa ni vya watu wenye albino. Vitu vingine walivyokutwa navyo ni ngozi ya simba, nyumbu, mamba, vibuyu, njuga, vioo, shanga na debe tatu za bangi.


Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, alisema waganga hao walikamatwa katika wilaya za Mkoa wa Mwanza kwenye msako ulioanza juzi. Alisema katika msako huo wamefanikiwa kuwakamata waganga hao wanaodaiwa kupiga ramli chonganishi zinazosababisha kuchochea matukio ya mauaji kwa albino na vikongwe.

“Katika msako wa Jeshi la Polisi ulioanza juzi tumefanikiwa kuwatia mbaroni waganga wa jadi 55 ambapo kati yao tumewakuta na nywele, meno za watu wenye albino waliouawa katika matukio tofauti mkoani hapa,” Mlowala.

Kamanda huyo wa Polisi alisema waganga hao watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili ikiwamo kumiliki nyara za Serikali kinyume cha sheria pamoja na viungo vya binadamu.

Mbali na tukio hilo, taarifa kutoka wilayani Misungwi zinaeleza kuwa watu wanne wamefikishwa kortini mjini hapa kwa tuhuma za kuuza mafuta maalumu ya ngozi yanayotumiwa na watu wenye albino. Mafuta hayo yenye thamani ya Sh milioni tano, ambayo yalitolewa na Hospitali ya Bugando kwa watoto wenye albino wilayani humo.

Wanafunzi Wakutwa Wakilawitiana Katika Shamba la Migomba huko Moshi

Picha  Ya  Maktaba
Wanafunzi  wawili wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ongoma iliyopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamekutwa wakilawitiana katika shamba la migomba jirani na shule hiyo.

 
Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Jerad Kesi, amesema kuwa tukio hilo lilitokea Machi 5 mwaka huu.
 
Kutokana na tukio hilo, Mwalimu Kesi alisema mmoja wa wazazi wa watoto hao alivamia shuleni hapo na kuwapiga walimu kwa kile alichosema kuwa walimu hao walikuwa wamemdhalilisha mtoto wake.
 
“Siku ya tukio, wanafunzi wawili wa darasa la pili na mmoja wa darasa la kwanza walikutwa na mwalimu wangu wakilawitiana kwenye migomba.
 
“Walipojua mwalimu amewaona, walikimbia na kuacha nguo zao pamoja na yule wa darasa la kwanza. Tulipomhoji yule mtoto aliyebaki alikubali kwamba amekuwa akilawitiwa na kwamba ameshafanyiwa kitendo hicho kama mara saba hivi,” alisema Mwalimu Kesi.
 
Baada ya wanafunzi hao kutimua mbio, Mwalimu Kesi alisema walirudi nyumbani na baadaye mmoja wa wazazi wao alifika shuleni hapo na kuwashutumu walimu hao kwamba wamemdhalilisha mtoto wake kwa kumvua nguo.
 
“Baada ya majibizano kati ya walimu na mzazi huyo, mzazi huyo aliwapiga walimu kwa fimbo na kuwajeruhi.
 
“Kwa hiyo, nilichokifanya nilikwenda kutoa taarifa polisi na kupewa RB namba MJ/RB/988/15 kwa ajili ya kumkamata mzazi huyo,” alisema mwalimu huyo.
 
Naye Mwalimu Idda Kilawe ambaye ndiye aliyewakuta wanafunzi hao wakilawitiana, amesema kuwa siku ya tukio aliwakuta wanafunzi hao wakiwa ndani ya kibanda walichokuwa wamekijenga kwenye migomba.
 
“Niliwakuta wakiwa wamejenga kibanda cha miti na kukiezeka kwa matawi ya miti na ndani yake walikuwa wanafunzi watatu na wawili kati yao ndiyo walikuwa wakilawitiana.
 
“Nakumbuka siku hiyo nilikuwa natoka kuchukua matokeo ya mitihani na nilipokaribia eneo la tukio, nikasikia sauti za watoto. Niliposogelea eneo hilo niliwaona wanafunzi wawili wakiwa uchi na yule mdogo ndiye alikuwa amevaa sare. waliponisikia, wakakimbia,” alisema mwalimu Kilawe

TAZAMA PICHA ZA UCHAFU WAFANYAVYO WANAFUNZI WA VYUONI



































































FOOTBALL NEWS

 
Blogger Templates